Takers filamu yenye maudhui ya kijambazi ambayo inamuonyesha mwanamuziki huyo yupo kwenye kundi hilo ambalo linasifiwa kwa wizi wa benk..
Hii inatokana na kusudio lao la kutaka kuiba dola million 20 ndani ya benk,ila hatimae anagundulika na polisi ambapo walionekana wakipanga mipango mbali mbali..
Japokuwa filamu hiyo inaonekana kufanana na filamu iliowahi kufanya vyema sokoni SETT IT OFF ,lakini ukiangali inaonyesha wazi kuwa kuna maujuzi yameongezewa katika filamu hii,sifa kibao zimemwagwa kwa mtayarishaji wa filamu hiyo John Luessenhop amweza kubadilika na kuifanya filamu kuwa bomba..
Mbali na Criss Brown washiriki wengine ni Matt Dillon,Idriss Elba ,Tip Harris, Paul Walker,Hayden Christensen,Michael Ealy,Jay Hernandez,Zoe Saldana na Johnathon Schaech