Mwanamuziki na Rapper Fabolous kutoka pande za new york ameweka bayana kuwa yeye na bwana mdogo soulja boy hawana beef yoyote..aliyaweka bayana kupitia mtandao wa Twitter..
Hayo yote mpaka kufikia hatua hiyo ni kutokana Fab alipokuwa akichambua footage ya Soulja Boy inayokwenda kwa jina Kat Stacks..Fab alisema kila mtu anajua Kat Stacks sasa kwanini ametumia footage katika video ni ufinyu wa mawazo,na ubunifu aahh natania tu jamani alisikika akisema Fab wakati akiwa katika moja ya hotel huko marekani ambapo alikuwa kwenye tour ya pamoja na Soulja Boy,lakini kwa upande wa bwana mdogo Soulja alijibu mapigo kwa kusema Fab hana jipya najua amependa ubunifu uliofanyika na ndio maana ameongea,kama kungekuwa hakuna ubunifu asingesema kitu so siwezi kubishana na mjinga aliyefilisika mashairi..