Google PlusRSS FeedEmail

LIL WAYNE'S "WELCOME HOME"




Habari kutoka kwa Rais wa Young Money Mack Maine zinasema kuwa show kubwa ( concert ) ya mwanamuziki Lil Wayne inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni Jijini New York Marekani,imepangwa kufanyika katika viwanja vya Madison Square Garden sehemu ambayo wao wameona ni moja kati sehemu nzuri itakayoweza kukusanya watu wengi zaidi kuweza kuudhuria concert hiyo..

Young Money president Mack Maine, aliongeza kuwa show hii ni kwa ajili ya kuwaweka waliotoka katika mstari katika style kusheherekea siku zao za kuzaliwa aliongeza kwa kusema ameshawahi kuudhuria birthday parties mbali mbali na kugundua kuna madudu mengi yanatokea ila show hii ni marekebisho kwa wale wote walio wahi kufanya birthday parties,hakika concert hii itawafunza watu ni jinsi gani siku hizi zinatakiwa kuwa na style ya kusheherekea,Sikosoi zote bali nyingi zimetoka katika muonekano wa birthday inavyotakiwa kuwa ..sasa tunafanya tamasha hili ili kifunza wapenzi wetu wajue nini kinatakiwa kufanywa katika birthday parties,na sio mapenzi tuu, alisikika akisema maneno hayo wakati alipokuwa akihojiwa na (MTV)

Vile vile aliongeza kuwa siku hiyo ndio siku ambayo wanatarajia kuwa ndio siku Lil Wayne anatarajiwa kutoka jela,itakuwa siku ya mafunzo kwa wapenzi wetu na ni siku ya kuzaliwa upya lily wayne kwa maana jela sehemu ambayo kuna mafunzo,kitendo cha kutoka ni sawa na kuzaliwa kwake upya kitabia…vile vile show kama hiyo wamepanga kufanyika katika majiji kama Los Angeles, Las Vegas, Toronto..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging