Google PlusRSS FeedEmail

WABONGO SASA WAMEKUWA KIMUZIKI AY & FA NDANI YA JIJI LA NAIROBI WAKATI WAKENYA WAKIWA WANASUBIRI KATIBA MPYA

Show ilikua ya safaricom,,inaitwa facebook,,,kulikua na wasanii kibao,,wakiwemo,,,MOG,P Unit,Nameless,Nonini na AY na FA,,ilifanyika Nairobi katika viwanjwa vya KICC leo mchana,,,AY na FA walifunika mbaya,,tamasha zima lilibebwa na perfomance,zawadi mbalimbali na mashindano ya kutafuta campus bora ya facebook,highschool bora ya facebook na MR&Miss safaricom facebook2010

  
Hapa msela akiwa anasubiri kupanda jukwaani ilikuwa powaa sana!!


AY- akiwa jukwaani akikamua akiwakilisha Bongo Flever ndani ya Jiji la Nairobi

Wakenya wakiwa na nyuso za furaha huku wakisubiri katiba yao mpya itakayosainiwa August 27 mwaka huu ,hapa walikuwa wakipata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki kutoka Tanzania,Nao ni Ay - Fa

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging