Google PlusRSS FeedEmail
Showing posts with label EVENTS. Show all posts
Showing posts with label EVENTS. Show all posts
Muimbaji Mwenye uwezo Mkubwa wakupiga vyombo vya Muziki Kutoka THT Barnaba boy leo usiku anatarajia kudondosha bonge la burudani katika ukumbi wa Villa Park ndani ya jiji la Mwanza ikiwa chini ya kundi la madj ya kitaifa Pro 24 Dj.

 Pro 24 Dj's wapo ndani ya jiji la Mwanza kwa siku 3 mfululizo ambapo siku ya kesho (Jumamosi) watadondosha burudani ya nguvu ndani ya Samaki Ferstival jijini Mwanza

BARNABA BOY, PRO 24 DJS KUPAGAWISHA JIJI LA MWANZA

Muimbaji Mwenye uwezo Mkubwa wakupiga vyombo vya Muziki Kutoka THT Barnaba boy leo usiku anatarajia kudondosha bonge la burudani katika u... [Read More]

SERENGETI FIESTA ILIVYOFANA

Msanii wa bongo fleva, Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz', akiimba katika tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa Kaitaba mjini Buko... [Read More]



 Wakazi wa moshi wakifwatiria kwa umakini show za washindi wa tuzo za Kilimanjaro music awards ambapo show hiyo imezinduliwa rasmi mwisho wa wiki mjini Moshi

 Malkia wa Mipasho Khadija Kopa akikonga nyoyo za mashabiki wa mjini Moshi walipohudhuria show hiyo ambayo mjini humo ndipo uzinduzi ulipofanyika.


 Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda jukwaani

KILL MUSIC ILIVOZINDULIWA MOSHI

 Wakazi wa moshi wakifwatiria kwa umakini show za washindi wa tuzo za Kilimanjaro music awards ambapo show hiyo imezinduliwa rasmi m... [Read More]

 Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mchumba wake na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Wema Sepetu akishukuru mashabiki kwa niaba ya Diamond Platnum jana usiku katika kinyang'anyiro cha tuzo za Kilimanjaro Music Awards, msanii huyo aliibuka na tuzo 7 katika vipengele vyote alivyowania.
 Msanii wa muziki nchini Diamond Pltanum(kulia) akimsikiliza kwa makini msanii mwenzake wa muziki Ommy Dimpoz (wa tatu kulia) (katikati) Wema Sepetu
 Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya nchini Man Water akipokea tuzo jana katika tuzo za Kilimanjaro Music Awards zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City
 Msanii wa Hip Hop nchini John Makini akitumbuiza katika usiku za tuzo za Kill
 Mtangazaji wa Clouds Tv Shadee, akimshikia kipaza sauti kwa ajili ya kumtangaza mshindi wa tuzo
 Msanii wa vichekesho Joti pamoja na Shadee
 Diamond Pltanium akishukuru mashabiki na waliohudhuria katika usiku wa tuzo hizo
 Wema Sepetu pamoja na Ommy Dimpozi wakifwatilia kwa makini shughuri nzima ya utoaji wa tuzo hizo

 Muimbaji wa taarabu Isha Mashauzi akitumbuiza katika usiku wa tuzo
Msanii wa Hip Hop Fid Q akiwa ameshikilia tuzo yake mara baada ya kutajwa kuwa ni mshindi wa tuzo ya msanii bora wa Hip Hop

YALIYOJILI USIKU WA TUZO ZA KILIMANJARO

 Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mchumba wake na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Wema Sepetu akishukuru mashabiki kwa niaba ... [Read More]


 Baadhi ya mashabiki waliohudhuria show ya uzinduzi wa video ya Gere

 Kipande kimoja wapo kilichopo katika video ya wimbo wa Gere






 Msanii wa hip Hop Joh Makini akiimba moja ya vionjo vinavyopatikana katika wimbo wa Gere kabla ya kuzindua video hiyo
 Baadhi ya wadau walioshiriki katika uzinduzi huo

YALIYOJILI UZINDUZI WA GERE KATIKA PICHA

 Baadhi ya mashabiki waliohudhuria show ya uzinduzi wa video ya Gere  Kipande kimoja wapo kilichopo katika video ya wimbo wa Gere... [Read More]

 Msanii Vanessa Mdee pamoja na Gosby wakiwa jukwaani jana katika usiku wa Azonto
 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wako chini ya lebo ya Bihts wakiongozwa na Mabeste katika jukwaa la Viwanja vya Ustawi wa Jamii jana ndani ya shoo ya Azonto.
 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wapo katia lebo ya Bihts, mbele yao ni Vanessa Mdee mara baada ya kumaliza shoo yao jana usiku katika usiku wa Azonto
 Msanii Snuara anayetamba na kibao cha Majanga ambapo hivi karibuni ametoa ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Nimevurugwa akitumbuiza jana katika viwanja hivyo kabla ya kupanda jukwaani msanii Fuse ODG
Snura akicheza sambamba na wacheza shoo wake jukanii hapo

YALIYOJILI SHOO YA AZONTO

 Msanii Vanessa Mdee pamoja na Gosby wakiwa jukwaani jana katika usiku wa Azonto  Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wako chini ya... [Read More]

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging