Google PlusRSS FeedEmail

ALLY KIBA AMWAGA MANYANGA G RECORDS








Baada ya kufanya kazi na G Records, miaka kadhaa tangu utambulisho katika industry ya bongo fleva Ali kiba jana ameamua kuachana na uongozi huo na kuamua kufanya kazi zake mwenyewe.

Nilipokea sms kutoka kwa guru ambae ni C.E.O wa G records ikisema kuwa kuanzia sasa hawatakuwa na alikiba kwasababu kaomba kufanya kazi zake mwenyewe na sasa wamebaki na album zetu mbili

G aliongeza kwa kusema wamempa ruksa kwa mikono miwili...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging