Rapper mwenye asili ya kisomali K’naan ametembelea Kibera (kenya) ikiwa ni moja kati ya sehem anazofanyia shooting (Canadian TV series) ya kipindi kinachoitwa 4REAL, ambapo huchukua macelebrity na kuwatembeza duniani kote kuungana na young leaders.
mastar wengine ambao wameshawahi kupitia 4REAL series ni pamoja na Cameron Diaz, Mos Def, Joaquin Phoenix, Eva Mendes, Casey Affleck na Flea wa Red Hot Chili Peppers.
hii ni video ambayo K naan aliishoot akiwa Eastleigh (Somali Ndogo) wakati alipokuwa mkibizi nchini kenya nyimbo inaitwa Soobax (unity),ngoma inaonyesha hasira juu ya vita visivyoisha Somalia, vilivyomuacha yeye na wengine wengi wakiwa wakimbizi
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.