August 31 channel mama ya burudani ya watu weusi ya nchini marekani kwa mara ya kwanza ilionyesha documentary ambayo haijawai kuonyeshwa na televison yoyote haya duniani duniani (BET aired its first ever original music documentary special)
Documentary hiyo ambayo inaelezea kuhusu wanamuziki wa kike wanaofanya muziki wa hip hop nchini marekani..inaelezea walipotoka vikwazo walivyokutana navyo na pia unyanyasaji wa kijinsia ambao walikutana nao katika jitihada zao za kijikwamua ili kufikia malengo ya kazi waliokuwa wametarajia, vile vile documentary hiyo iliambatana na interviews za music executives, journalists..
Wasanii ambao walionekana katika documentary hiyo ni ( Missy Elliott, Eve, Trina, Rah Digga, Roxanne Shante, MC Lyte, Yo Yo and Lady of Rage Salt-n-Pepa, Eve, Lil' Mama and Jean Grae) vile vile manguli wa muziki walioonekana Hip Hop moguls (Jermaine Dupri, Russell Simmons and Kevin Liles)vile vile documentary ilikuwa ikielezea mithiani tofauti tofauti iliyowapata wasanii hao katika swala zima marketing, promotion and economics...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.