Def Jam Records Has Reportedly Spent $3 Million On Kanye West's New Album
Kanye West's fifth album,imeripotiwa kuwa imepewa jina la Dark Twisted Fantasy ,na kwa wadau wa muziki nchini marekani wanasema albamu hiyo ni moto wa kuotea mbali katika albamu za hip hop ambazo zimetoka na zinanazotarajiwa kutoka mwaka huu wa 2010
The Def Jam Records imetoa extensive recording sessions ambazo zilifanyika huko Hawaii na pia wametoa baadhi ya kazi za albamu hiyo zilizofanyika Studio huko Lower Manhattan.kwa ajili ya wadau wa muziki ambao watasaidia katika usambazaji wa albamu hiyo...
katika albamu hiyo watu walioshirikishwa humo ni kama Rick Ross, Nicki Minaj, Jay-Z, Raekwon, Mos Def, Swizz Beatz, Pete Rock, DJ Premier, S-1, Mike Dean and Pusha T..
Na inasemekana kuwa itakuwa ni moja ya the most expensive albums na vile vile Def Jam Records imeajiri wapishi wawili kwa ajili ya kumpikia rapper huyo kwa mda wote ambao yuko katika umaliziaji wa albamu hiyo..na mpaka sasa maandalizi albamu hiyo yamefikia dolla million 3..








