T.I.'s Penn State University Shows Is Cancelled
ATLANTA — Rapper T.I. yuko katika wakati mgumu baada ya kuwa yuko katika probation ambayo alitakiwa kutofanya kosa lolote, kwa mda wa mwaka mmoja, kutokana na kesi yake iliyomfanya awekwe jela..
Clifford Harris,T.I hivi karibuni amelikamatwa na police wa huko Hollywood akiwa na mkewe Tomeka wakiwa wanatumia bangi katika gari waliokuwa wakiitumia...
Kutokana na kesi yake hiyo mpya amelazimika kufuta show zote ambazo alitakiwa kuzifanya mpaka kujua hatma ya kesi mpya inayomkabili yeye na mkewe..
katika moja ya show kubwa ambazo aliyotarajiwa kuifanya mwaka huu ni show ya September 24 ambayo ingefanyika Bryce Jordan Center, na Pennsylvania University campus.ambazo zote zimefutwa..








