Google PlusRSS FeedEmail

Dr. Dre And Timbaland Team Up For HP Promotion



Manguli na wa muziki wa hip hop nchini marekani vile vile vile wakiwa ni ma producer wanaomiliki studio tofauti tofauti,huko nchini Marekani,Wamekula shavu baada ya kupata tenda ya kutangaza computer za Cirty, California high school


Hewlett-Packard,ambazo wengi tunazitambua kama HP..
Kutokana na mvuto wa vijana wengi kampuni hiyo imeamua kuwatumia producers hao ili kuongeza soko la computer hizo ndogo..
Kwa mara ya kwanza walianza kuzinadi computer hizo huko Culver 
Wakati wa wa uzinduzi na utiaji wa sain za mkataba huokati wa producers hao na  wa computer  hizo Hewlett-Packard
Wote kwa pamoja Dre na Timberland  waliperforme..

Vile vile  Hp walitoa computer zenye dhamani ya dolla 10,000$ ambazo zina sain ya Dr Dre na Timberland..


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging