Kama maisha tumejaliwa,kama vipaji tumeshapewa,kwanini leo tuogope?Wanafiki tuwashangae,Wanachekesha”
Si maneno yangu bali maneno kutoka kwa vijana wa TMK Majita.Yamo katika wimbo wao walioutoa hivi karibuni unaokwenda kwa jina la Wanachekesha.Hii ni production kutoka Sound Crafters Studio chini ya Producer Enrico na Muba Touch....