Rappers kama Snoop Dogg, Jay-Z and T.I. ni moja kati ya wasanii ambao wamefanya kazi za kurekodi nje ya labels zao..
Imeripotiwa Bow Wow Baada ya kutoka katika kampuni ya Sony music mwaka jana August 11,sasa ameamua kufanya albamu mpya ambayo nayo ameipatia jina Who Is Shad Moss
Alipokuwa akifanya mahojiano na na kipindi cha Real Talk cha huko New York Marekani alisikika akisema amemchagua Rapper Jadakiss kuwa balozi wa Albamu yake hiyo mpya...
Na alipoulizwa sababu ya kuwaacha haao wote na kumchagua Jadakiss alisema,niko mezani na Jadakiss tangu naanza kuandaa project hii..amenishauri vitu vingi sana pia niliamua kumchagua yeye kwa maana Jadakiss ni mtu anayeheshimu mziki wa Hip Hop nilitaka challenge kutoka kwake...








