Google PlusRSS FeedEmail

VITUKO VYA LADY GAGA NI MPAKA KWENYE MAVAZI





Mwanamuziki aliye juu na mwenye vibweka Lady Gaga AKA (Madonna part 2) alitupia vazi lililo-design-niwa kwa nyama ya ng'ombe katika tuzo za MTV Video Awards wiki iliyopita na aliondoka tuzo ya video bora kupitia track yake ya Bad Romance. Cheki mwana alivyotupia hapo Ups...chukulia kama angekutana na kundi la mbwa mwitu au fisi ingekua vp?

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging