Jumapili iliyopita mwanamama Mariah Carey akiwa huko Singapore katika ukumbi wa Grand Prix,akiwa katika moja ya show zake,
Mwanamama huyo aliteleza na kuanguka chini wakati akiwa anaimba wimbo wake uliofanya vyema mwaka 1992 ambao unajuikana kama Make It Happen,
Mwanamama huyo ambaye anaujauzito wa mumewe wa sasa,Nick cannon mara alipoanguka alisaidiwa na mmoja wa backup dancer wake ambaye alimsaidia na kumuinua mwanamama huyo,alipoulizwa je viatu virefu alivyovalia labda ndivyo vilimsababishia kuanguka akasema hapana,baada ya sekunde chache alionekana yuko fit,wakati hayo yote yanaendelea mwanamama huyo alikuwa akiendelea kuimba wimbo huo Make it Happen....
Baada ya dakika chache alionekana mmoja wa walinzi wake akimtoa viatu,ambavyo alikuwa amevalia vyenye kisigo kirefu,na baada ya dakika chache alipatiwa maji...ila alisikika mwanamama huyo kupitia microphone akisema "I'm supposed to be barefoot."
Je ni nini kimemfanya mwana mama huyo kuanguka je viatu vyenye kisigino kirefu ( high heels ) au ni ujauzito aliokuwa nao...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







