Kupitia kwenye mahojiano aliyofanya kwenye kituo 92.3 Now Fm ya huko New York,Marekani aliulizwa swali na mtangazaji wa kipindi hicho,kuhusiana ombi alilolipata kutoka kwa Rapper Eminem kwamba anataka waache kuzozana kupitia mashairi sasa ni wakati wa wao wawili waandae pambano la ngumi halafu mapato yatakayopatikana yaende kusaidia watu wanaoishi katika maisha magumu...Nick Alisikika akisema Em i'm gonna box-off...
Nick Cannon Accepts Suggested Eminem Charity Boxing Match Offer
Television personality/actor/musician Nick Cannon,amewashangaza wadau wengi wa muziki kote duniani baada ya kutaka yeye na Rapper Eminem waache kubishana kwenye mashairi ya muziki ni wakati wao wapange pambano la ngumi ( Boxing ) pamabano hilo halitakuwa na vigezo vya uzito wowote..








