Mcheza sinema Michael Douglas yuko katika wakati mgumu maishani kutokana na matatizo mfulululizo yanayomkumba..
Douglas mwishoni mwa mwezi uliopita aligundulika na saratani ya koo ambayo imefikia hatua mbaya,na kumletea maumivu makali.
Mshindi huyo wa tunzo za Oscar Alisikika akisema napigana na maisha,Douglas mwenye umri wa miaka 65sasa ambaye yuko kayika tiba ya mionzi ili kujaribu kutibu saratani hiyo ambayo imesambaa hadi mwanzoni mwa ulimi wake..
Douglas a;iliambia gazeti la People kuwa yuko katika matibabu ya saratani ya koo tangu mwanzoni mwa mwezi August mwaka huu..
Mbaya zaidi mtoto wa Douglas Cameron yupo kifungoni baada ya kukutwa na madawa ya kulevya..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








