Baada ya baba yao kufariki Dunia,Prince Michael 13 na Paris 12 wameanza rasmi jana kuingia katika shule ya mchanganyiko baada ya kifo cha baba yao..
Watoto hao walionekana wakiingia katika shule maalumu exclusive and private Buckley School,ambayo hata marehemu baba yao pamoja na ndugu zake ambao waliokuwa wanaunda kundi ka The Jackson walishawai kusoma baada ya kupata mafanikio..
Watoto hao walionekana wakiwa wakiwa na walinzi wawili (2 bodyguards),ambao hata baada ya watoto hao kuingia darasani walinzi hao walionekana wakiwa nje mlango wa darasa hilo na pia watoto hao walipokuwa wakicheza na wenzao walinzi hao walionekana wakiwa karibu yao..katika maeneo ya shule hiyo
Kuna uvumi unaosema ya kuwa walinzi hao wako karibu na watoto hao kwasababu hatakiwi mtu yoyote kuwauliza na kutaka kujua chochote kuhusiana na familia yao...
Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 770 kuanzia kindergarten ( chekechea )hadi High school,..kuna watu maharufu hivi sasa walisoma katika shule hiyo nao ni Paris Hilton,Kim Kardashian,Natalie Cole,Matthew Perry..
Tuition ya watoto wa machael Jackson inakadiriwa kufikia dolla 30,000$
wazo la watoto hao kusoma katika shule ya mchanganyiko na watoto wenzao lilikuja baada ya watoto hao.baada ya ombi hilo familia ilikaa na kukubaliwa na mlezi wao Bi Katherine Jackson..
Wakati wa uhai wa baba yao watoto hao walikuwa wakisoma nyumbani kwa maana baba yako alikuwa hataki watoto wake waonekane hadharani..