Google PlusRSS FeedEmail

STANBOY -RAISE TANZANIA FLAG EVERYWHERE THAT MHHHHH

Mtu mzima Stanboi,wengi mtamkumbuka wakati alipokuwa katika kundi zima la East Coast,alingaa sana wakati aliposhain kwenye ngoma ya ITIKADI ZETU Hope unaikumbuka ngoma hiyo ambayo ilifanywa na Producer Effector,
Dogo kwa sasa yuko pande za kwa Obama Omeraaa ,kimasomo...

Mbali na masomo dogo yuko busy na kufanya recording mbali mbali mpaka hv sasa ana ngoma kama 50 hv ambazo zote ziko tayari kwa ajili ya wapenzi na wasiokuwa wapenzi wa muziki wake..
Akiwa katika studio ya na washikaji zake kama J-Flash na Feel J,Wako katika harakati za kumalizia Ngoma mpya inayokwenda kwa jina la DO U"RE THING

Aliongeza kwa kusema yakuwa kwa sasa ameshamaliza ngoma zote ambazo zitakuwa kwenye albamu yake ,na anatarajia kuja bongo kwa ajili ya kufanya uzinduzi wa albamu yake hiyoo..
Na aliongeza pia kwa kusema kabla yeye binafsi hajarudi atawapa Watanzania zawadi kusikiliza ngoma yake  Its all about to go,Raise my Tanzania Flag everywhere that i go..





This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging