Google PlusRSS FeedEmail

NAKUJA KUWAPINDUA NA KUWALAZA WANAOJIONA BILA WAO HAKUNA TENA

Huyu anajulikana kwa jina la Abdul Kachaa ni kijana mdogo anayeishi Arusha pande za Ngarenaro Darajani. 


Abdul alianza game akiwa darasa la tatu mwaka 2004 na mara ya kwanza kujua kipaji chake alikuwa darasani kwenye somo la STUDY ZA KAZI na mpaka sana ameweza kuwa vizuri na ana nyimbo mbili ya kwanza ikiwa ni Sijafikia mkono wa triple na wimbo wa pili unaitwa Ghetto la mjomba ilyotengenezwa na studio ya Golden mkono wa JC.


Abdul Kachaa anasema matarajio yake ni kufanya mapinduzi na sasa anasema hayuko solo tena ana crew yake inayoitwa A Town Hustlerz na wako vijana watatu yeye pamoja na Abacha na Priva.

Abdul anampango wa kutoa album ila kwa sasa shule ndio inamtinga sana so kwa sasa yuko kidato cha pili katika shule ya Bishop Kisula Secondary School

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging