Mshindi wa Tunzo za Grammy Award na pia ni Mwanamuziki,mwandishi wa mashairi ya muziki vile vile ni mcheza filamu kutoka nchini marekani Ne-Yo hivi sasa yuko katika Champagne ya kutangaza albamu yake mpya ambayo ameipatia jina LIBRA SCALE.,ambayo itakuwa sokoni duniani kote siku ya October 5th,
Champagne hiyo amabayo imeanzia huko Cleveland,aliizindua siku ya Ijumaa ya tarehe 27 ya mwezi August ambayo itaendelea mpaka siku ambayo itakuwa sokoni October 5 mwaka huu.
Katika Champagne hiyo Ne-Yo anaifanya kama style ya tamthilia katika kumbi za starehe na mahotel katika States tofauti tofauti huko kwao marekani na baadae atahamia bara ulaya,
Katika kuinadi Albamu yake hiyo ameshaachia ngoma moja inayokwenda kwa jina la One In A Million,ambayo imeanza kuchezwa na vituo mbali mbali vya radio hapa nchini...
Na mwisho wa wiki Champagne hiyo anaihamishia huko Atlanta
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.