Google PlusRSS FeedEmail

MASSAWE NA KIMARIO WAACHIA AUDIO YA DAKIKA MOJA


Wale mapacha wawili walioshibana kwa kila kitu ila kwenye na kama unataka kuona hasira zao wazurumu mkwanja wao uone hali hiyo ikawafanya wapewe majina ya massawe na kimario na dada yao manka (lady jd), hapa namzungumzia AY na Mwana FA baada ya kutoa video ya wimbo wao wa DAKIKA MOJA sasa wametoa Audio wa wimbo huo na umeshasambazwa kwenye radio station mbali mbali kwa hapa Bongo na nje ya bongo.
 

Wimbo huo ukiwa umetengenezwa pale B'Hits Music Group chini ya Producer Harmy B.
Na wimbo huu wameshirikiana na msanii mwingine anayekwenda kwa jina la 
Hardmad.. 

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging