TIP TOP KUACHIA ALBAMU SIKU YA IDDI MOSI
Wakati bado kwafuka moshi katika kundi lao ,kundi hilo limeweka bayana ya kuwa siku ya Iddi Mosi wataachia Albamu yao ya kundi,kundi hilo lenye vichwa kibao na vikali kwenye upande huu wa muziki wa kizazi kipyaivi sasa nyota yake imewaka,dogo anajulikana kama Roma..