Wakati soko la muziki bongo likiwa bado linasua sua hasa kwenye upande wa mauzo ya cds na tapes New album ya Hamidu sasa inapatikana bureeeeeeeeee
Jamaa amechonga na pro 24 na kusema ameamua kuigawa,kwa wapenzi na wasio wapenzi wa muziki wake waweze kusikiliza mashairi yake yanayojenga na kuelimisha jamiii.. so kama unaitaka na upo pande za Dar es salaam basi jaribu kupitia maeneo ya Kinondoni Studio kwenye duka lake la nguo halafu mpango mzima utaupata hapo.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.









One Response so far.