Google PlusRSS FeedEmail

WADOSI MIZINGUO NIMEAMUA KUGAWA - SIKATI TAMAA - BUREEEE UJE SHOP UCHUKUE NAKALA YAKO..

Wakati soko la muziki bongo likiwa bado linasua sua hasa kwenye upande wa mauzo ya cds na tapes New album ya Hamidu sasa inapatikana bureeeeeeeeee
Jamaa  amechonga na pro 24 na kusema ameamua kuigawa,kwa wapenzi na wasio wapenzi wa muziki wake waweze kusikiliza mashairi yake yanayojenga na kuelimisha jamiii.. so kama unaitaka na upo pande za Dar es salaam basi jaribu kupitia maeneo ya Kinondoni Studio kwenye duka lake la nguo halafu mpango mzima utaupata hapo.

This entry was posted in

One Response so far.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging