Google PlusRSS FeedEmail

WYCLEF AJIBU MAPIGO YA SEAN PENN...KUHUSIANA NA NIA YAKE YA MBIO ZAKE ZA URAIS..



Wakati Wyclef Jean alitangaza kuwa angekuwa ni mmoja kati watu ambao wangewania rais katika nchi yake ya Haiti, Mwigizaji Sean Penn ex-Fugee Pras Ameviambia vyombo vya habari kupitia HOT 97,ana wasiwasi sana na mwanamuziki Wyclef kama atapewa nafasi ya kuongoza nchi,kwa maana haamini mwanamuziki wa Hip Hop ataweza kuongoza nchi kama inavyotakiwa..


Kupitia tamasha la Reggae,linajulikana kama Reggae Tip, Linalofanyika mara moja kwa mwaka huko Jamaica Mwanamuziki,,Producer,na sasa Mwanasiasa pia amemjibu Sean Penn,kwa kumwambia asikilize mashairi ya ngoma yake ya mwaka 2004 aliyoipa jina la President..atapata majibu ya kutosha na kwanini ameamua kuwania kiti hicho,,


Wyclef Jean aliongeza kwa kusema,alitaka sana kumshirikisha kwenye kila jambo, ambalo alikuwa anataka kuifanyia Haiti,ila alishindwa kutokana na jamaa mda mwingi alikuwa yuko busy na utumiaji wa Cocaine..sina chuki na hata mmoja nawapenda wote waliokuwa katika kundi Fugees,kwanini huyu aanze kuongea haya kwa sasa...
Sean Penn aliiambia CNN mwezi uliopita kuwa anawasiwasi kwa msanii Hip Hop.kuchua ofisi..
Nimefanya vitu vp kama mjasiliamali ,nimefanya kama mimi navyotaka na si kupandikizwa kama wengi wanavyofikiri ni haki yangu kikatiba,


Jeff Swartz, kiongozi wa Timberland basically aliona mwenendo wangu ,nimechangisha watu wangu wakaribu kupitia mtandao ili kusaidia haiti,nimefanya matamasha ya hiari ili kusaidia nyumbani haiti bado mtu aoni ila ni mdomo mdomo..kupitia albamu zangu kila nakala dolla mbili nilitenga kwa ajili ya Haiti,mwenye macho aambiwi ona ni muonekano tosha kubadilisha muonekano wa Haiti katika Historia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging