Kipindi hiki akiwa na lengo la kupata umiliki wa mwanae mwenye umri wa mika 2 ajulikanae kwa jina la Cox. Mwanamama huyu alifunga ndoa mwaka 2005 na kuachana na mumewe Jordan Bratman mwaka huu mwezi wa tisa. Ingawaje yeye ndio aliyetoka nje ya ndoa lakini hataki kugawana mali na mumewe huyo.
Sasa haijulikani kama mahakama itamkubalia ombi hilo wakati yeye kama mama mazazi ndio chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hiyo kwa kutoka nje ya ndoa.








