NEW FISH CRAB STUDIO YATOA OFFER KWA WASANII
Producer Lamar baada ya kumaliza matengenezo ya studio yake ya Fish Crab iliyochukuwa takribani mwezi mmoja na nusu. Mtu mzima ametoa ofa ya kurekosi kwa nusu bei kwa mda wa wiki moja tu. Lamar amesema anachukua nyimbo 5 tu so kama wewe unajua ni mkali na haujatoka basi nenda pale maeneo ya Kariakoo nyuma ya jengo la Yanga halafu ucheki bahati yako.








