Multi Choice Tanzania ndiyo ilikuwa mdhamini wa Mtanzania huyo na ndiyo waliomwezesha kushiriki kinyang’anyiro hicho.
Katika hafla hiyo iliyosimamiwa na Meneja Masoko wa Multi Choice, Furaha Sawalu na Afisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Barbra Kambogi, Mwampamba aliwaeleza machache waandishi wa habari kuhusu mchuano huo ulivyokuwa...







