Google PlusRSS FeedEmail

STEVE R&B AKIMBILIA MACHOZI BAND


Baada ya kufanya vizuri sana katika muziki wakizazi kipya hasa katika collabo yake na mr blue,kupitia song lake tabasamu,steve kwa sasa amejiunga na bendi inayofanya vyema katika muziki wa kizazi kipya ,nayo ni machozi band ,kwa mujibu wa mmoja wa wakurugenzi wa Bendi hiyo Gadna alisema ya kuwa Steve amechukua kiti cha sam ambaye alikuwa ni mmoja wa wasanii wa Bendi hiyo ila kwa sasa hawako nae tena na hakutaka kuelezea sababu zilizofanya msanii huyo kuondoka..ila hawako nae tena kwa sababu ambazo hakuzitaja,aliwaomba wadau wa bendi yao wampokee steve kwa maana ni kijana ambaye anajua nini anafanya katika muziki huu wa kizazi kipya hasa kupitia band..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging