Hatimae wale wasanii 8 wakubwa kutoka kila upande mwa bara la Africa Wamefikia pazuri katika kazi iliyowapeleka huko Nchini Marekani,chini ya program inayojulikana kama, AFRICA UNITE WITH ONE MAJOR GLOBAL MEGASTAR TO FORM ONE 8...Ambapo nchi yetu ya Tanzania imewakilishwa vyema na Ally Kibba...
Hizo chini ni baadhi ya picha za wasanii ambao wa wamepata bahati ya kuwa katika program hiyo mwaka huu..










