FANTASIA ARUDI KIBARUANI YUKO MBIONI KUMALIZAI VIDEO YAKE MPYA
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu mwanamuziki aliyechipukia katika shindano la American Pop Idle Fantasia yupo katika mchakato wa kukamilisha video yake mpya akiwa chini ya J Records video ya wimbo “I’m Doin’ Me”ulipokatika albamu yake ya Back To Me. Benny Boom ndio anahusika katika upande mzima wa utengenezaji wa video hiyo...








