Google PlusRSS FeedEmail

MAHAKAMA YA LOS ANGELES YAMFUTIA MAKOSA RAPPER T.I KWA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA..

Mahakama ya Jiji la Los Angeles Nchini Marekani Imemfuatia mashitaka yaliyokuwa yakimkabili Rapper Clifford Harris T.I,


Mahakama hiyo imechukua uamuzi huo baada ya Rapper huyo kuhukumiwa kifungo cha miezi 11 jela baada ya kukiuka amri ya mahakama iliyokuwa ikimuhitaji kukaa uraiani kwa mda wa mwaka mmoja bila kufanya kosa lolote..


Mwezi uliopita Rapper T.I akiwa na mkewe walikamatwa  katika moja ya mtaa ya huko Hollywood Marekani akiwa wanatumia madawa ya kulevya,mara baada ya kukamatwa mahama ikamuhukumu kurudi jela baada ya kukiuka amri ya mahakama,wiki moja mara baada ya kufanya kosa hilo rapper huyo alimshawishi kijana mmoja asijitupe kutoka kwenye moja ya jengo  mjini humo,ambapo kijana huyo alikuwa akitishia kujiua  ,ila mahakama ilisema kuwa huo ulikuwa mchezo tu ili Rapper huyo kupunguziwa adhabu,kwa kosa lililokuwa likimkabili..

Tmz imeripoti kuwa makosa mengine yalikuwa nao ukitoa kukutwa akivuta bangi na kupita njia isiyoruhusiwa na mara polisi walivyoona uvunjifu wa sheria barabarani  ndipo wakalifuatilia gari hilo na wakafanikiwa  kumkuta Rapper huyo akiwa anavuta bangi kwenye gari hiyo..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging