Google PlusRSS FeedEmail

MUNYA MARA BAADA YA KUKOSA DOLA LAKI 2 ZA BBA ALA SHAVU HUKO KWAO ZIMBABWE..

Baada ya kukosa kitina cha Dolla lakimi mbili za Kimarekani katika shindano Big brother Africa,Aliyekuwa mwakilishi  kutoka nchini Zimbabwe anayejulikana kwa jina la MUNYARADZI CHIDZONGA Munya Amepata bahati ya kukabidhiwa kitita cha dolla Laki 3 za Kimarkani na Rais Robert Mugabe mara  alipokutana nae katika  Ikulu ya nchi hiyo
Na sasa ameteuliwa kuwa balozi wa Diamond head wa Indian business delegation kutoka Surat Rough Diamonds Sourcing company,
Mr Ashit Mehta, alimkabidhi Munya  pete ya diamond yenye thamani ya dola 20,000 kama heshima ya kuiwakilisha sekta hiyo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging