Google PlusRSS FeedEmail

MWISHO ARUDI HOME KIMYA KIMYA TENA BILA SHEMEJI YETU..

Mshiriki wa BBA 2010 All Stars, Mwisho Mwampamba, ametua Bongo jioni hii akitokea Afrika Kusini alikoenda kushiriki shindano hilo ambako hakubahatika kukipata kitita cha Dola 200,000 zilizoenda Nigeria kwa Uti.,Mwisho ametua bila mchumba wake Meryl ambaye alimvisha pete ya uchumba wakiwa mjengoni. Kuhusu hilo, mrisho alijibu kwa kifupi...she is coming soon!!

Kushoto, mwenye rasta, ni yule ndugu yake aliyekwenda mjengoni wakati wa uchumba wake na Meryl, akisaidia kubeba mizigo ya ndugu yake

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging