Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka hii It was a family affair kwa smith nje ya studio za BET.Hapo ni baba na mama yake yaani Will na Jada wakimsindikiza Willow Smith kurecord kipindi cha 106 & park ambapo aliitambulisha kwa mara ya kwanza video ya wimbo wake “Whip My Hair”.
Wakati wa show alionesha kububujikwa na machozi baada ya kukabidhiwa certificate ikimpongeza kwa utambulisho wake wa video hiyo.
TAZAMA ALIPOKUWA KATIKA SHOW HIYO
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








