Vijana wanaosumbua Tanzania kwa sasa,katika swala zima la burudani leo tena wako Club Masai Kinondoni kwa ajili ya makamuzi makubwa kwa wapenda burudani,vijana hao ambao ni kundi la Ma Dj ambao kwa sasa wamepata umaharufu mkubwa na kila kukicha wamekua gumzo hapa nyumbani Tanzania..
Ni kwanini labda wao wamekuwa tishio kwa wakongwe na kupendwa,na wadau wa burudani? sababu kubwa ni kwamba vijana hawa wana kila sababu ya kukubalika kwa maana wana style ya kipekee katika upigaji wa muziki,na Disco kwa ujumla, wamejipanga utadhani nyuki wakiwa wanatengeneza asali..na utamu wa asali kila Jumatano huwa wanakuwa Club Masai Kindondoni Jijini Dar es salaam mtu anaujua leo wako lub masai kinondoni..
Hapa ni baadhi ya wadau ambao huwa wanajua ni kitu gani kinatokea kila Jumatano pale club masai kinondoni ..Ni baadhi ya wadau ila aliyekati kati ni dj Bulla wa Clouds Fm naye huwa anakuja kupata burudani kutoka kwa pro 24 dj..
Na kwanini usubiri kwenye web kwanini usije ukajione mwenyewe leo unakaribishwa kwa kiingilio kidogo cha shilingi 3000/=kwa wakina kaka na wakina dada ni shilingi 2000/= usikose usiku wa leo kuanzia saa 3 kamili usiku hadi kunapambazuka.....
Hapa burudani imekaa mahala peke sasa kila mmoja akiwa anakura raha kwa style yake mwenyewe ilimradi pro 24 djs wanaporomosha ngoma zilizokwenda shule mixing sasa,usiniulize karibu leo club masai...hapa wadau wakiwa wanazunguka na mduara dj joe akiwazungusha kama wadau wanavyotaka...







