Mwanamama mwanamitindo,mbunifu wa mavazi mwanamuziki na pia ni mke wa mcheza kandanda David Beckham hv karibuni amejikuta akiwa katika mzozo wa chini kwa chini na tasisi ya kutetea haki za wanyama kukasirishishwa na kitendo cha mwanamama huyo kuonekana na begi lake jipya la ngozi ya mnyama.
Gazeti la The Daily Mirrior liliripoti kuwa tasisi hiyo imepania kumfungia kazi supa staa huyo na inamuwinda kwa udi na uvumba pale atakapotokea katika tamasha lolote nchini UK,Wanachama wa taasisi hiyo wamepania kumwagia damu ya ng’ombe ili kuonyesha hasira zao kutokana na kitendo hicho.
Tarifa za ndani zinadai kuwa Vicky hakupata taarifa yoyote iliyotumwa kwake kutoka katika taasisi hiyo na sio kuwa amepuuzia taarifa yao..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








