Google PlusRSS FeedEmail

USIKU WA MARAHA NDANI YA CLUB BILLICANA NA PRO - 24 DJs HUOOO

Wakati kila siku zinavyozidi kwenda,wadau wa burudani ndani na nje ya jiji la Dar es salaam  wanazidi kupokea na kuukubali usiku wa pro 24,ndani Club Billicanas.
Leo tarehe 28 vijana Watanashati wanaojua nini wanafanya watakuwa ndani ya Club ya kimataifa Billicanas kukupa wewe mdau wa burudani Raha zaidi,,Pro 24 ni umoja wa vijana ambao wanasababisha Raha ndani club hiyo vijana wa ujuzi wa kipekee katika swala zima la kukuchesha wewe mdau wa burudani




Kama kawaida usiku wa leo wakina dada wao freeeee kwa raha zao ila wanachotakiwa kufanya ni kujipatia kuponi ya kinywaji mlangoni kwa bei rahisi ya shilingi elfu tano tu na wakina kaka wao watachangia buku tano tu mlangoni,na wala hutojutia kwa maana pro 24 watakufikisha katika kilele cha burudani usikose usiku wa leo, pale Club Billicanas..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging