Google PlusRSS FeedEmail

BAADA YA KIFO CHA MICHAEL JACKSON NYIMBO ZAKE MPYA ZAENDELEA KUACHIWA..


Kampuni ya Sony itafanikisha mauzo ya wimbo mpya wa MJ uitwao “Breaking News“.Wakizungumzia tetesi za kuwepo wimbo bandia wa Michael Jackson prodyuza wa lebo ya Michael Jackson Epic Records Teddy Riley na Meneja Frank Dileo walithibitisha katika wimbo huo inayosikika ni sauti yake hayati mfalme wa Pop duniani Michael Jackson.

Jackson alirekodi wimbo huo mwaka 2007 huko New Jersey kwenye studio ya Cascio, nyimbo ya“Breaking News” itawekwa kwenye albam yake mpya ijayo itakayoitwa “Michael” ambayo inatarajiwa kutoka Desemba, albam hii itajumuisha nyimbo mpya za Michael ambazo hazikuwahi kutolewa. Ukitaka kusikia nyimbo hii ya Breaking News ingia kwenye tovuti yake www.michaeljackson.com

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging