Kwa wale wapenzi na wasio wapenzi wa burudani ni siku ile ileya Alhamisi imewadia,usije ukathubutu kuukosa usiku wa maraha,maana vija na wa Pro 24 Djs wakishirikiana na Club billlicanas wanakuletea usiku wa wa akina dada,Ladies Nite,kwa wakina kaka wao wanachangia shillingi elfu tano tu ila burudani utachoka mwenyewe..
Tazama picha za baadhi ya wadau waliorithia na usiku wa pro-24 na ku show love na camera ya pro 24.katika Alhamisi zilizopita...
Dj Joe
Dj ChillDj Tass
Dj Kevy
Wakati Djs wa pro-24 wakifanya kazi yao kukonga nyoyo za wadau baadae mambo huwa hiviiiii...
Kwanini uhangaike karibu Club Billicanas kila Alhamisi kwenye usiku wa pro-24...ni zaidi ya usiku kwa maana kuna raha za aina yake..karibu








