Jay-Z ameweka bayana kuhusu swala hilo alipo kuwa anahojiwa na kituo kimoja cha redio nchini Marekani amesema uvumi huo so wa kweli mkwe si mjamzito..
Nguli huyo wa Hip hop na mjasiriamali mkubwa aliongeza kwa kusema .” Najua watu wanajua nimeoa lakini sipendi kuzungumzia maisha yangu binafsi hazarani kwasababu yananihusu mimi binafsi na jibu naloweza sema ni HAPANA hakuna ujauzito wowote, nashangaa watu wanazusha vitu tu na wakati mama yangu yupo nayeye ndio angekuwa wa kwanza kujua”
Alipoulizwa juu ya maoni ya rafiki wake wa karibu Kanye West aliyoyatoa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo George Bush kuwa ni mbagauzi alijibu. Ilikuwa mbaya kwa muda ule lakini zilikuwa hisia za kweli. Sisi kama watu weusi hatukuona janga la Katrina ni la kiasili bali lilikuwa shambulio kwa watu weusi.









