Google PlusRSS FeedEmail

NE-YO APATA MTOTO WA KIKE

Wakati wasanii mbali mbali wakiwa wamepata bahati ya kujifungua salama,Mwanamuziki mcheza filamu mwandishi wa mashairi ya muziki Ne-Yo na yeye kwa sasa yuko katika furaha kubwa mara baada rafiki yake wa kike Monyetta Shaw kujifungua mtoto wa kike ijumaa iliyopita November 12,huko            
Atlanta Marekani,

Imeelezwa kuwa mwanamuziki huyo ameanzisha event ambazo mapato yake yatakuwa yakipelekwa moja kwa moja katika foundation zinazojihusisha na maswala ya uzazi..
Akiwa mwenye furaha kubwa baada ya kupata mtoto huyo aliweka bayana kuwa albamu yake mpya itakuwa sokoni kuanzia Nov 22,na ameshaipatia jina Libra Scale..na alimalizia kwa kusema  "Brand new baby, brand new album. Life is GOOD!!!!  

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging