Huu utakuwa ni mfano kwa mashindano mbali mbali ya music star search ambayo yanaendelea, hapa Africa ya Mashariki,kijana huyu Natalie Okri mwanamuziki wa baadae kidogo tayari,amejipatia umaaarfu mkubwa huko Uk,mara baada ya kushiriki katika shindano la Britains got talent..kwa wale wanaotarajia kushiriki katika mashindano kama hayo tafadhali msikurupuke iga mfano wa kijana huyu..japo hakufika mbali ila alifanya kazi yake vyema jitazamie wewe mwenyewe..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







