Mkongwe katika game,Rama B aka rama bizzo aja ma mchizi RL katika ngoma yao mpya kabisa iitwayo siendi tena tanga,
Track ilorekodiwa pande za arusha chini ya dx...ngoma hio yenye style za bounce ni ya kipekee kwa jinsi tanga bagamoyo imezungumziwa humo ndani,na zaidi pia maswahiba hawa wawili wamekwisha sambaza video ya track yao hii waloishoot kule kijiji cha bagamoyo mkoani tanga na clip zingine za mkoani arusha.
Hoodpixx,kampuni changa lakini machachari ndio imesmamia kazi ya video production.Rama B na RL kwa pamoja wanaunda kundi liitwalo "THE BLACKS" na hapo juu pichani utawaona katika videoshoot snaps kadhaa."tunatarajia kudondosha kazi nyingi zaidi na zaidi watu wakae sawa maana mwaka 2011 ni wa kwetu the blacks",walisema atown artists hawa
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







