DJ Pinye alitoa taharifa hiyo kupitia Account yake ya mtandao wa Facebook,aliandika maneno yasemayo "Rest In Peace..Mom..
DJ Pinye amejipatia umaharu mkubwa na mafans wengi hasa Dar es Salaam Arusha na Mwanza kupitia kazi zake za Kuchezea santuri Udj...www.pro-24.net/blog..na pro 24djs tunakupa pole sana Kumbuka Ulimpenda sana ila Mwenyezi MUNGU kampenda zaidi..








