Amesema kuna nyimbo nyingine kama tatu hivi ameshazirekodi kwahiyo zitajumuishwa na hizo atakazokuwa amezikusanya.
Mbali na kufanya Mastering ya album yake hiyo itakayotambulika kwa jina la Kina Kirefu, Mansu-li amesema kuwa hata album cover inatarajiwa kutengenezwa pale pale Tongwe Rec.