Google PlusRSS FeedEmail

BEEF KATI YA LIL KIM NA NICKI MINAJ LAHAMIA KATIKA MITINDO HURU..

Wakati mwana mama,Nicki Minaj akiwa anazidi kujizolea umaharufu wake,biff lilopo kati yake na na mwanamama Rapper Lil kim sasa linazidi kuwa kubwa..Mwanamama Nicki Minaj akiwa ameachia ngoma yake inayokwenda kwa jina Roman's Revenge ambayo aliiachia mwishoni mwa mwezi uliopita ngoma ambayo amemshirikisha Rapper Eminem,

Katika ngoma hiyo Nicki amesikika katika moja ya mashairi yake yakisema "Word, that bitch mad 'cause I took the spot?/ Well, bitch, if you ain't sh**tin', then get off the pot/ Got some n****s out in Brooklyn that'll off your top."

Wakati hayo yakiendelea mwanamama huyo katika mahojiano ya hivi karibuni na Dj Khaled,alisema kuwa alikuwa kimya kwa mda na yeye ni mtu mzuri,na kila mtu anaweza kuzungumza kitu cochote juu yake ..ila amekuwa ni mtu wakupokea na kusikiliza na kuyachua ambayo anajua yanaweza kuyachukua ila kama hakuna huwa anatemana nayo.

Ila hivi majuzi Novemba 5 mwanamama Lil kim alikuwa katika club moja ya usiku huko queens alionekana akitoa mitindo huru ambayo ilikuwa ni dongo kwa mwanamama Nick..

Lil kim alionekana na kusikika akisema"First of all, I don't even need a record right now and I'd kill that bitch with my old sh**. My records ain't just enter the charts, they made history. What the f*** is this bullsh**, this sh** come and go!"mhh  na kama vipi tazama video chini....

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging