Aliyekuwa mke wa Rapper Notorious B.I.G,Faith Evans ambaye naye ni mwanamuziki wa R&B imeelezwa kuwa ni mmoja kati ya watu watakaocheza katika filamu mpya iliyopewa jina Blondie..
Kwa mujibu wa msemaji wa kampuni inayoandaa filamu hiyo Spirit of Life Films amesema Faith Evans katika filamu hiyo atacheza kama mchawi au mzimu wa muimbaji kinara wa kundi la Supremes, Florence Ballard ambaye atakuwa akielezea story ya ukweli ambayo ilipunguzwa makali ya ukweli wa tukio na kuwekwa kapuni kwa mda mrefu uliopita..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








