Google PlusRSS FeedEmail

President Yoweri Museveni raps!!

Wakati Tanzania wakiwa wametoka tu katika uchaguzi Mkuu uliofanyika October 31,Hatimaye Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepita..kwa asilimia 61%ila katika kampeni yake hiyo ilitawaliwa na vituko na vimbwanga vya kila aina hasa pale Rais Kikwete alipoonekana akikolea katika baadhi ya ngoma kali ya yote alipokuwa akicheza kiduku...Kali nyingine ni hii ambayo Rais Yoweri Museven aja na single yake ambayo ni rap ila kwa lugha ya kiganda,kumbuka kwa sasa yuko katika maandalizi ya kampeni kwa ajili ya kutetea kiti chake,na hiyo ndio rap yake me nimependa kiitikio...


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging